kwamamaza 7

Mke amewaacha watoto wake pakiwemo wa miezi 3

0

Uwambaje Eliana mwanamke wenye umri wa miaka 33 alikua akiishi kijiji cha Gataba, kiini ya Kibogora, tarifa ya Kanjongo, wilaya ya Nyamasheke, anatafutishwa na wakaaji, viongozi na ngazi za usalama kwa sababu aliwaacha watoto wake pakiwemo wa miezi 3 na akakosekana.

Kiongozi wa kiini ya Kibogora Habimana Gervais, ambapo aliishi mwanamke huu, amesema kuwa mke huo alikuwa akizaliya watoto hao wote kwawo nyumbani ikimaanisha ya kuwa alikuwa hana mume.

Habimana amesema kuwa Uwambaje alikuwa na watoto watatu, mkubwa akiwa na miaka saba, wa miaka 3, hao wawili wakiwa wa kiume, na dada yao mdogo wa miezi 3. Alikuwa akiishi kwa kufua ngua za wakaaji ili apate malisho ya watoto wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Eti, “juma pili ndipo aliondoka asubui na aliacha hata huo mtoto wa miezi 3, karibu saa nani ndipo wajirani walisikia mtoto analiya sana, wakakuta mtoto yupo pekee, kiongozi wa kijiji akamuchukua kumupa maziwa. Mzazi wengine alitamani kumunyonyesha wakamukataza ili apelekwe hospitali ili kutazama kama mtoto hua hana magonjwa ya kuambukiza kwa sababu mama yake husema alikua na tabia mbaya”. Yawezekana aliwaacha watoto kwa sababu maisha yalimusumbua, na hakuweza kusikilizana na baba ya yule mtoto mdogo ambaye hajulikane na mke yupo anatafutishwa hadi sasa.

Huo mtoto wa miezi tatu anaendelea kupewa maziwa ya ng’ombe kwa kiongozi wa kijiji, watoto wengine wakishugulikiwa na wajirani, na kama mama wa watoto haonekani itabidi kufanya ripoti ili huyu wa miezi 3 atafutiwe mahali pa kuishi.

Uongozi umeomba wakaaji kujua maisha ya watu kama hao wanaoishi katika vijiji vyao, hayo kakutanishwa na yale ambao yalisemwa katika mkutano wa usalama wa wilaya, ili kujua sababu ya wakaaji wapya katika vijiji tofauti na kutoa taarifa mapema.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com,chanzo:imvaho

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.