Swahili
HABARI

Mkazi asiye na maendeleo hana usalama-Jenerali Kabarebe

Waziri wa usalama Jenerali James Kabarebe amewambia wakazi wa tarafa ya Muringa wilayani Nyabihu kuwa mkazi ambaye hana maendeleo hawezi kuwa na usalama.

Waziri Kabarebe amesema haya alipokuwa akianzisha  mpango wa jeshi la Rwanda kwa jina” Ingabo mu iterambere ry’abaturage” yaani wanajeshi katika maendeleo ya wakazi kwa kupanda viazi .

Kabarebe ameeezea wakazi kwamba wanajeshi wana wajibu wa kuimalisha maisha mazuri ya wakazi,maendeleo na usalama wao na kwa hiyo wanajeshi wanajiunga na taasisi nyingine kuyafikia maendeleo ya wakazi.

“Mkazi ambaye hana bima ya afya,mwenye njaa,bila fedha, hana usalama”

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Pengine kumeanzishwa mambo husika na afya,pengine shule na mengine” Waziri Kabarebe ameongeza.

Mpango huu umechukua nafasi ya ‘Army weeek’ ambako kumeanzishwa miradi mbalimbali kama vile ujenzi wa shule,kuwajengea nyumba wakazi na mengine.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com