kwamamaza 7

Mkataba wa utendaji siyo bure,ni kutimiza lengo letu-Rais Kagame

0

Rais Paul Kagame bungeni amekumbusha viongozi kuwa mkataba wa utendaji ni kutimiza lengo la kazi siyo kufanya bure.

Katika hotuba yake,Rais Kagame ameshukuru wilaya zilizotimiza lengo la kusaidia Wanyarwanda kuyafikia maendeleo kwenye mkataba wa utendaji 2016/2017 na kukumbusha wilaya zilizoshindwa kuwa hii ni fursa ya kurekebisha na kutia nguvu mambo yanayokuenda vibaya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkataba wa utendaji unaonyesha mambo yanayohitaji kutiliwa mkazo,haina budi kufanya juu chini kutimiza lengo letu”amesema Rais Kagame.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Orodha ifuatayo ni ya wilaya na nafasi zake kwenye mkataba wa utendaji 2016/2017:

1.Rwamagana 82,2

2.Musanze 81,28 

3.Huye 80,55 

4.Gakenke 80,12

5.Nyarugenge 79,71

6.Gatsibo 79,55 7.

7.Kirehe 79,39

8.Burera 79,33

9.Gasabo 79,19

10.Gicumbi 79,19

11.Nyamasheke 78

12Rutsiro 78,74

13.Karongi 78,62

14.Rusizi 789

15.Nyaruguru

16.Muhanga 78,40

17.Ngororero 78,73

18.Nyagatre 77,85

19.Kamonyi 77,51

20.Ngoma 77,50

21.Nyanza 77,15

22.Bugesera 76,95

23.Kayonza 76,86

24.Nyabihu 76,15

25.Kicukiro

26.Gisagara 75,66

27.Nyamagabe 75,55

28.Ruhango 75,27

29.Rurindo 75,19

30.Rubavu

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Paul Kagame amemaliza hotuba yake kwa kuhamasisha viongozi kushirikiana na kufanya yanayohitajika ili kutimiza maendeleo.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.