kwamamaza 7

Mkanganyiko wazuka baada ya wakimbizi 40 asili ya Rwanda kukamatwa

0

Kutoelewa kumetokea baada ya wakimbzi 40 asili ya Rwanda kukamatwa kwenye mpaka wa Uganda na Rwanda jana tarehe 11 Disemba 2017 kwenye mpaka wa Kikagati kati ya Uganda na Tanzania.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkanganyiko ni kwamba taarifa za Soft Power,nchini Uganda zinasema kuwa hawa walikuwa wakielekea nchini Uganda walikuwa wakristo wakielekea katika shughuli za sala zao nchini Tanzania.

Kwa upande mwingine,chombo cha habari cha Virunga post,nchini Uganda kimehakikisha kwamba hawa walikuwa wanakuenda kwenye mafunzo ya kijeshi ya chama cha upinzani wa serikali ya Rwanda, RNC.

Mmoja mwa waliokamatwa ametangazia Soft power kwamba walikamatwa na polisi walipoinga nchini Tanzania na kufungwa nchini Uganda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu ameongeza kuwa waliambiwa kwamba wamekamatwa kwa amri ya mkuu wa upelelezi wa uhalifu kwenye polisi ya Uganda,Kanuni Atwooki Ndahura na kuwa suala hili litajulishwa ubalozi wa Rwanda nchini Uganda.

Pamoja na haya,kuna taarifa za kuwa kundi hili la Wanyarwanda lilikuwa likielekea nchini DR Congo kulingana na mradi wa RNC wa kusajili watu katika jeshi lake.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.