kwamamaza 7

Mjifunze kwa kulenga mabadiliko badala ya kuachiwa huru-Waziri Busingye

0

Waziri wa sheria, Johnston Busingye amewashauri wafungwa kujifunza kwa kulenga mabadiliko badala ya kuachiwa huru.

Waziri Busingye akiwa Wilayani Nyagatare amesema kwamba inawezekana hawa vijana kufikiri kwamba ni kawaida kwao kushinda mitihani ili kuachiwa huru.

“Kila mmoja wenu akumbuke uhalifu uliosababisha kuja hapa ili kubadilika,itawasaidia kupata nidhamu badala ya kuachiwa huru juu ya kushinda mitihani ya taifa” Waziri Busingye ameonya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kila mwaka Rais Kagame hutoa msamaha kwa vijana walio gerezani ambao walishinda mitihani ya taifa na kuachia huru ili kuendelea na masomo yao.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.