kwamamaza 7

Miss World: Mwakilishi wa Rwanda katika mashindano ya urembo ashindwa

0

Katika mashindano ya urembo ya kitaifa (Miss World), Stephanie del valle kutoka nchini Puerto Rico ametangazwa kuwa mshindi wa Miss World 2016 ilioandaliwa kwa mara ya 66.

Kwa mara ya kwanza Rwanda ikiwakilishwa katika mashindano haya, Mutesi Jolly, Miss Rwanda 2016 ameshindwa katika washindani 117 waliojikusanyia Washington DC-Marekani; ijapokuwa alichaguliwa kushindania kiwango cha mwisho cha wanawake 25.

13516311_1205953842783048_6150890589582671448_n
Mwakilishi wa Rwanda katika mashindano ya urembo (Miss World) 2016, Mutesi Jolly

Stephanie Del amefuatiliwa na Yaritza Reyes kutoka Dominican Republic aliyekuwa makamu wa kwanza, na makamu wa pili akiwa Natasha Mannuela kutoka Indonesisa.

screen-shot-2016-12-18-at-6-44-35-pm
Mshindi wa Miss World 2016, Stephanie del valle kutoka Puerto Rico

Mwafrika aliyeshiklia nyadhifa nzuri ni Evelyn Thungu kutoka Kenya aliyekuwa wa nne. Wengine wamefuatiliana kama hivi: Catriona Gray kutoka Philippines, Lenty Frans kutoka ubelijiji, Beatrice Fontoura (Brazil), Jing Kong kutoka Uchina, Hyun Wang kutoka Korea ya kusini, Bayartsetseg Altangerel kutoka Mongolia na Audra Mari kutoka Marekani.

aaaaa1

Mashindano ya urembo ya kimataifa, Miss World huandaliwa na uingeleza tangu 1951.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.