kwamamaza 7

Misri:Rais Kagame na Tony Elumelu kuongoza mkutano mkubwa zaidi barani Afrika

0

Rais Paul Kagame na mwenyekiti wa ‘$100 Entrepreneurship Programme’ Tony Elumelu ndio watakaongoza mkutano mkubwa zaidi barani mwa Afrika kwa jina la ‘Young Entrepreneurship Day’ (YED) Yaani Sikukuu ya wekezaji wenye umri mdogo tarehe 06 Disemba 2017.

Mkutano huu unalenga kuongeza nguvu za uchumi na uwekezaji barani Afrika,kunatarajiwa mkutano wa wa wekezaji kutoka Afrika kwa kuwaonyesha wekezaji wakubwa na kuwafundisha namna ya kukuza shughuli zao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa za CNBC Africa zinasema kuwa Rais Kagame na Elumelu ni wekezaji waliyoyatimiza mengi pia na  kuwa watatoa hoja zao kwa niaba ya serikali na ya watu binafsi.

Waziri wa uwekezaji na mambo ya nje wa Misri,Dk.Sahar Nasr ameleza kuwa nchi yake inatilia mkazo jambao lakuunda mazingira yanayorahisisha shughuli.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkutano huu utafanyika wakati wa siku 3 na kuwa utakaribishwa na Rais wa Misri,Abdel Fattah Al Sisi,mjini Sharm El Sheikh.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.