Polisi ya wilaya ya Burera imemkamata mhandisi wa kujenga barabara la Base-Butaro-Kidaho mkoa wa kazikazini kwa kutuhumiwa ufisadi na matumizi kinyume na sheria ya mali ya kampuni NPD Ltd.

Pia,anatuhumiwa kutoa orodha ya watumishi hewa kama ilivyonyeshwa na upelelezi wa msingi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Spika wa polisi mkoa wa kasikazini,IP innocent Gasasira amethibitisha habari hizi kwamba mhandisi asiyetajwa majina amekamatwa kulingana na  taarifa za The Newtimes.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mhandisi huyu anatuhumiwa kuuza lori 30 za mawe na makusanyiko 50 ya mbao

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mtuhumiwa amefungwa jela kwenye kituo cha polisi cha Rusarabuye wakati ambapo upelelezi unaendelea.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina