Swahili
Home » Mgombea Urais Barafinda Fred yawavutia wafuasi kwa ucheshi wake
HABARI SIASA

Mgombea Urais Barafinda Fred yawavutia wafuasi kwa ucheshi wake

Mzaha wa mgombea Barafinda Fred kama kifaa cha kuwatafuta wafuasi wakumpigia saini anazohitaji kwa kujaza nyarakakwa ajili ya Tume ya Uchaguzi.

Mgombea huyu ambaye ni moja wapo wa wale waliotangazwa na tume ya Uchaguzi kwamba hawajajaza nyaraka amekwisha kuwa maarufu kwa ucheshi wake wa kimaumbile na hata katika maneno.

Alipojitokeza wilaya ya Rwamagana ,raia wa hapo walishtuka kwa kuwa moja wapo walikuwa wakimjua kwa picha hususani za mitandao na wanahisi anatumia ucheshi wake kama ngao ya kuwatafuta wafuasi.

Raia mmoja aliyeshangazwa na mzaha wa Barafinda akiongea na Bwiza.com alisema “ Barafinda alikuwa hapa jumapili kisoko cha Kabare na kuanza kutuchesha eti ‘watu wanadhani mimi sina gari mimi nina, ukiona basi ya RITCO ikipita jua ni Barafinda anayepita, hili ndilo gari nalojisikia salama kwa mfano hivi nimelipa 1000 tu kufika hapa, na hata viato vyangu mguu mmoja ni hummer na mwingine V8 kwa kutunyesha viato vyake na kusema na hata mahali penye hatari ya janga yeye hutembea”l

Walisema zaidi kuwa wanamwona kama mtu ambaye angalichagua kuishi kwa kazi ya uchekeshaji bali kuwa rais ni ndoto za mbali rais na kuongeza kwamba kuwa rais kunahitaji wafuasi wengi siyo kuwachekesha ilin waje wakakuunga mkono

Tumemsikia ana mzaha unaoweza kumpa umaarufu, ikiwa anataka umaruufu na hata fedha anaweza kupata, wakati mmoja tulimwuliza ikiwa atakuwa na uwezo wa kifedha wa kuendesha kampeni na kutwambia “huenda serikali itatupeleka mahali pa kuendesh akampeni na iwapo itafanya sita sita kuja

Hiyo ina maana hana uwezo wa kuendesha kampeni kwa ajili yake wakati wagombea wanalazimikwa kutumia fedha ya mifuko yao wakati wa kampeni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Alipoongea na Bwiza.com alithibitisha kuwa ana viato mguu mmoja wa aina ya hummer mwingine V8, kama alivyowatangazia raia wa Rwamagana walipokuja kwa umati kumshudia wakati alipokuwa eneo hilo, alisema ” raia wa Rwamagana walikuja kunipokea kwa shangwe na wakati waliponiuliza ikiwa nina gari niliwaambia kwama… kiato cha mguu wa kushoto ni Hummer na wa kulia V8”

Wakati kulivuma taarifa za kuwa Barafinda ilitiwa nguvuni tarehe 28 Juni na Polisi na akaweza kuachiliwa huru baadaye yeye alikanusha habari hizi.

Ati “Abantu bari benshi bafite impapuro barimo kunsinyira [mu gace kazwi nka Quartier Matheus no muri gare yo mu Mujyi ], baranshungereye cyane noneho polisi igira amakenga ko baba barimo kunkorera urugomo, rwose polisi ntabwo yigeze ibangamira Sekikubo Fred, umukandida wigenga”.

Kulikuwa na watu chungu nzima wakiwa na nyaraka wakanipigia saini katika sehemu jirani ya Quartier Matheus na Katikati mwa mji wa Kigali, na kwa hivyo Polisi walidhani watu hao wanaweza kuwa wakanichochea lakini hawakunifanyia lolote mimi kama mgombea binafsi”

Mpaka sasa Tume ya Uchaguzi iliwatangaza wagombea 2 tu ambao walikwisha idinishwa kwa muda na miongoni mwao Barafinda Fred hayuko. Hata hivyo anasema kwamba atakuwa amejaza nyaraka zote kabla ya siku ya mwisho kukamilisha nyaraka kuwadia na ana imani atawashangaza watu kwa kushinda uchaguzi

Sebukiko BARAFINDA Fred, mwenye umri wa miaka 47 anaishi Jijini Kigali katika tarafa la Kanombe ya Wilaya ya Kicukiro na alivuma sana katika vyombo vya habari na mtandaoni tarehe 12/06/2017 alipowasilisha nyaraka zake kwa tume ya Uchaguzi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com