kwamamaza 7

Me Bernard Ntaganda anafanya maandamano akijitesa na njaa

0

Mwana siasa, Me Bernard Ntaganda anaye ishi Rwanda tena kiongozi wa chama PS Imberakuri, tarehe 27 Februari ameanza maandamano ya kujitesa na njaa mbele ya kikao cha wana sheria akiomba kurejeshwa katika huduma zake.

Katika maongezi na bwiza.com Me Ntaganda alisema ya kuwa lengo lake ni kurejeshwa ndani ya huduma yake kwa kuwa tangu kufunguliwa kwake mwaka 2014 aliomba kurudi katika kazi ila kiongozi wa kikao cha wana sheria Me Kavaruganda Julien alikataa kumupokea.

Ila kiongozi wa kikao amemuomba kitambulisho ambacho huonyesha ya kuwa hakuna kosa lolote ambalo anashutumiwa ili arudishwe katika huduma yake, ila Bernard yeye husema ya kuwa vitambulisho hivyo huombwa wana sheria wapya na yeye ni mwana sheria tangu mwaka wa 2006.

Me Ntaganda anashutumu Me Kavaruganda kuwa yupo chini ya utawala wa chama tawala FPR kwa kuwa haelewi sababu harejeshwi katika kazi hata kama alifungwa miaka inne na wengi wana sheria wenzake walijeshwa katika huduma zao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tarehe 07 Julai 2011 ndipo wana sheria 112 pakiwemo Me Ntaganda Bernard walisimamishwa katika kikao chao kwa sababu hawakutoa michango.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.