kwamamaza 7

Mchezaji Haruna Niyonzima kupelekwa nchini Uhindi kwa ajili ya kutibiwa

0

Inatarajika kwamba mchezaji asili ya Rwanda Haruna Niyonzima atapelekwa nchini Uhindi siku mbili  za usoni kwa ajili ya matibabu ya majeraha yake yanayomkabili.

Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ya klabu ya Simba, Haji Manara amefichua hili kwa kusema kwamba itabidi afanyiwe operesheni ndogo  kwenye mguu  huyu kiungo wa kimataifa wa Rwanda na  Wekundu wa Msimbazi,Haruna Niyonzima.

Manara amesema” Haruna anatarajiwa kuelekea India ndani ya sikumbili hizi kwa ajili ya matibabu, atakuwa na operesheni ndogo kwenye mfupa wa paji la mguu”

Atakaa huko kwa muda wa siku mbili, tatu na atatumia muda wa wiki tatu hadi anarejea uwanjani.”Manara ameongeza

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia Manara ametangazia Bongo 5 kwamba “Majeraha yake yameanza muda mrefu hata kabla ya kujiunga na Simba lakini kama mchezaji wa Simba wanahakikisha kumpeleka Uhindi.

Inatarajika kwamba Haruna Niyonzima atarudi uwanjani mwezi Machi akiwa fiti na tayari kwa ajili ya kuitumikia klabu yake.”

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.