kwamamaza 7

Mazishi ya mwanasheria Nzamwita ilikua machozi na huzuni

0

MwanasheriaNzamwita Ntabwoba Toy aliyefariki akiwa na umri wa miaka 49, alisindikizwa na watu wengi sana wakionyesha uzuni mwningi, machozi kwenye kikao cha makaburi huko Rusororo katika wilaya ya Gasabo jana tarehe 4 January 2017.

Aliyetoa neno la Mungu ambalo lilikua ni la kufariji alisoma katika biblia kitabu cha mwanzo sura 3 mustari wa 19 akisema roho ya marehemu Nzamwita Toy iko mbinguni.eti ”kutoa jasho kwa uso wako nipo utapata mkate mpaka siku utarudishwa udongoni, wewe ni vumbi na utarudi mavumbini”.

[ad id=”72″]

Baada ya neno la Mungu waliita mke wake marehemu Nadege Bigimba, pamoja na watoto ndipo wakashusha sanduku ndani ya kaburi kiisha marafiki na wandugu kutoka mahali mbalimbali wakatia maua, pakiwemo wanasheria wa Ufaransa, Afrika ya Mashariki na wengine.

Nzamwita Etienne anayesimamiya familia aliwasifu wote waliokuja kuwafariji na kuwatia nguvu kwa kusindikiwa marehemu, na wataendelea kumukumbuka hadi tarehe 7 Januari 2017 na kusambaza kilio nyumbani kwake marehemu pa saa tisa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.