kwamamaza 7

Matunda ya Rwanda Day tangu kuanza

0

Tangu Rwanda Day, siku inayowakutanisha wanyarwanda wa diaspora na wanaoshi ndani ya nchi, kuweko kulijitokeza matokeo mazuri ikiwemo mojawapo ya walioamua kurudi nchini mwao na waliovutiwa na kuanza minadi ya uwekezaji.

Historia ya Rwanda Day ilianza tangu 2010, rais alipowakuta wanyarwanda wapatao 2000 mjini Brussels nchi Ubelgiji.

Toka wakati huo, wanyarwanda ambao wanaishi nchini Rwanda na nje yake walipewa fursa ya kumkuta rais na wakajadili mchango wa kila yeyote kwenye maendeleo ya nchi. Hapa pia inakuwa fursa kwa wasanii wanyarwanda kutoka nje na ndani ya nchi kuburudika na wapenzi wao.

Kutoka wakati huo, baadhi ya watu walijionea ukweli kuhusu Rwanda na wakaamua kurudi kuizuru Rwanda kupitia mfumo wake wa “kuja ujionee”. Kwa hiyo baadhi wakaamua kurudi mfano Rwigema Pierre Celestin na hata Louis Antoine Muhire.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mfano mwingine ni wa wanyarwanda walioamua kuwekeza nchi rwanda kupitia habari walizozipata kutoka Rwanda Day ambazo zilizokuweko kutoka miji mbalimbali. Waziri wa mambo ya Nje Rose Mushikiwabo alitangaza hivi karibuni kwamba kuna wanyarwanda wengi walioekeza kwenye makampuni, hoteli, restorenti, na wengine wakaja kuchangia kwa kutoa elimu.

Maudhui ya rais huwagusa mioyo

Katika mikutano yote ya Rwanda Day, rais hakukosa kuwaitia Wanyarwanda wa Diaspora kutafuta elmu na mali na kukumbuka kuvileta nchini mwao kwa ajii ya kuchangia katika maendeleo yake

Rwanda Day i Toronto muri Canada yamweretse ukuri

Rwanda Day ya Toronto ilimwonyesha ukweli wa mambo

Muhire ambaye alikuwa akiishi Canada, angehofia kurudi Rwanda kwa kuwa Baba yake alihusika na mauaji ya kimbari . Lakini kwa kushiriki Rwanda Day amejisikia akibadili mawazo lakini akiwa baado ana mashaka. Ndipo alivyoamua kurudi akatembea kilometa 1400 na ndipo alipojionea ukweli wa mambo na kuamua kurudi nchini mwake.

Uwekezaji kutona na Rwanda Day

Muhire huyu aliaanza kampuni ambayo aliita Mergins Ltd inayohusika na programu za simu za mkononi ambayo inawasaidia watu walio nje ya nchi kulipa ama kutumia fedha watu walio ndani ya nchi.

Muhire kwa sasa ni kamshna katika Tume la haki za Kibinadamu.

Na hii ndio mifano halisi kuhusu Rwanda Day tunayoweza kutoa

Rwigema alirudi nchi kwa ajili ya Rwanda Day

Pierre Celestin Rwigema,ambaye alikuwa waziri mkuu toka 1995- 2000 aliamua kurudi wakati wa Rwanda Day ambapo alitoa hotuba ya kuwaitia watu kurudi nchini mwao.

Rwanda day pia ni fursa inayowasaidia kubadili mawazo watu waliodokezewa Uzuri wa Rwanda,kuhusu ukweli na maendeleo yaliyofikiwa nchini Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.