Swahili
Home » Mastaa kumi tajiri kuliko wengine duniani
HABARI

Mastaa kumi tajiri kuliko wengine duniani

Jarida la Forbes latangaza mastaa tajiri kuliko wengine duniani wa mwaka huu, huku orodha hii ikiongozwa na  Sean “Diddy” Combs akiwa na million 130 $ sawa na milioni 102£

Orodha hii pia hi ambayo inatatawaliwa kwa wingi na wanamziki watano , wachezaji wawili wengine wakiwa wanafilamu na wandishi.

Sean “Diddy” Combs yeye ufanisi wake ulitokana na shughuli za kibiashara zikiwemo ziara za mziki, mkataba wa mauzo kati yake na kampuni ya vodka na hatua yake ya kuuza nembo yake ya mavazi ya Sean John.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Beyonce na JK Rowling wanashikilia nafasi ya pili na ya tatu mtawalia, lakini jambo lisilo sawa kwa wanawake ni kuwa katika orodha hiyo ya wasanii na wachezaji 100 ni asilimia 16 pekee.

Beyonce naye ameshikilia nafasi ya pili akiwa na milioni 105$ ya mapato sawa na milioni 82.2£ ikiwa ufanisi wake ulitokana na ziara za mziki na albamu ya Limonade ambayo ilitamba mwaka huu la hasha mumewe Jay- Z aliweza tu kushika nafasi ya 55.

Wachezaji waliowahi kutumbuiza katika orodha hii ya mastaa kumi mtawalia ni pamoja na Cristiano Ronaldo wa Soka na Lebron James wa Mpira wa kikapu

Ona Orodha kamili kwa mjibu wa bbc.com

 1. Sean “Diddy” Combs – $130m (£102m) nafasi 22 mwaka jana
 2. Beyonce Knowles – $105m (£82.7m) kutoka nafasi 34 mwaka jana
 3. JK Rowling – $95m (£74.8m) ,hakuwemo
 4. Drake – $94m (£74.06m), kutoka nafasi 69
 5. Cristiano Ronaldo – $93m (£73.2m), nafasi ya 4
 6. The Weeknd – $92m (£72.45m), kutoka nafasi ya 30
 7. Howard Stern – $90m (£70.86m), amekuwa nafasi 7
 8. Coldplay – $88m (£69.33m) nafasi mpya
  9. James Patterson – $87m (£68.53m) nafasi mpya
 9. LeBron James – $86m (£67.8m) nafasi mpya

 

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com