kwamamaza 7

Mashindano ya Miss Africa 2017 yatafanyika Rwanda

0

Mashindano ya Miss Africa Continent kwa kawaida yalikua yakifanyika Afrika Kusini, ila mwaka huu wa 2017 yatafanyika Kigali-Rwanda tarehe 20 Mei 2017.

Miss Africa ni mashindano gani? Ni mashindano ambayo hufanyika kila mwaka Afrika Kusini. Wakina dada ambao walisimamia nchi zao katika mashindao hayo walianza kushiriki tangu tarehe 20 April 2016.

Anaye teuliwa kuwa Miss Afrika anafanywa kuwa msemaji wa bara hilo na kuonyesha uzuri wa Afrika, anatetea bara kwa kupiganisha umaskini, kukinga ukimwi, Ebola kwa uwasiliano na Umoja wa Mataifa.

Wanao husika na kuandaa mashindao hayo ni ProAct Communications, wanasema pia watampa mke neno na kuunganisha bara la Afrika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwaka wa  2015, wakati Lionel Neo Mashishi, aliye anzisha mashindano hayo alifafanua ya kwamba itakua ikifanyika kila mwaka na alionyesha jinsi itaonyesha miumbile na mila ya Afrika. Eti “nalikuta Afrika haina mashindano ya bara lote na nikaamua kuanza, tayari nimefanya mashindano hayo Afrika Kusini mara tatu na ilikuwa vema na ninaamini ya kuwa nipo nafasi nzuri kwa kutayarisha Miss Afrika”.

Aliye ebuka ushindi wa Miss Afrika 2016 ni raia wa Ghana ajulikanaye kwa jina la Rebecca Asamoah mwenye umri wa miaka 24, ni mpatanishi mkuu ulimwenguni kwa kutayarisha mashindano ya Miss World, Miss Universe, Miss Earth.

Rwanda, anayekwenda kuwania ushindi wa Miss Afrika ni yule ambaye alichukuwa taji ya Miss Rwanda.

Wakina dada kutoka nchi tofauti za Afrika wanahitaji kushiriki mashindano hayo na wanaombwa kujiandikisha, kujiandikisha kwenye orodha ilianza tarehe 20 Januari na itamalizika tarehe 20 Mach 2017.

Hivi sasa tayari kuna wenye wamekwisha kukubaliwa kushiki mashindano hayo Miss Afrika, Kossinda Angele wa Cameroon, na Mamadou wa Senegal.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.