kwamamaza 7

Mashariki: Watu 12 wametiwa mbaroni hususani kompyuta za watoto

0

Baada ya upelelezi uliofanywa na polisi, viongozi wa 12 pamoja na waalimu wametiwa mbaroni hususani kompyuta za watoto zilizokosekana katika jimbo la Mashariki.

Msemaji wa polisi jimbo la Mashariki, Inspector of Police (IP) Emmanuel Kayigi, alisema kati ya wale 8 waliokamatwa ni wa wilaya ya Rwamagana wengine 4 wakiwa wa wilaya ya Gatsibo.

IP Kayigi eti:”Hadi sasa tunaendelea na upelelezi wa kutotia katika matendo ya maendeleo ya raia kama VUP, Girinka pamoja na kompyuta moja kwa kila mtoto. Hayo huonyesha kwamba kulikuwa huduma mbaya kwa ajili ya matumizi katika mipango ya maendeleo ya wakaaji”.

Kaendelea eti:”Upelelezi na kuwakamata huendelea, pakiwemo kompyuta 245 zilizo kosekana katika wilaya ya Gatsibo, 139 katika wilaya ya Rwamagana, waliokamatwa ni wamoja waliohusika na mipango ya utendaji katika wilaya hizo za Jimbo  Mashariki”.

Kimenyi Erick, kiongozi wa ngazi katika kituo cha nchi alishukuru tendo ambalo polisi walifanya kwa kuwakamata.

Kimenyi eti:”Katika uchunguzi uliofanywa na kituo cha Elimu REB mwaka nenda kompyuta 1000 zilikosekana katika jimbo la Mashariki”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mpango huo ulikuwa na lengo ili watoto wa Rwanda watumie teknolojia katika shule la msingi na kuendeleza teknolojia katika mafunzo na mafundisho katika nchi.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.