Mchungaji wa ng’ombe, Peter, 18, amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka bintiye bosi wake.

Kiongozi wa Kijiji,  Eulade Hategekimana amesema Peter anatuhumiwa kumbaka msichana wa miaka 12 wakati wazazi hawakuwepo nyumbani.

Mtuhumiwa anatimiza miaka minne akichunga ng’ombe za bosi wake. Wazazi wamesema alikuwa kama mtoto wao.

Mtuhumiwa amepelekwa kwenye kituo cha Polisi halafu msichana akalazwa hospitalini kufanyiwa uchunguzi wa hali ya maisha yake.

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.