kwamamaza 7

Mashabiki wa shetani kwenye mapambano na wakristu katika migogoro

0

Wakristu wamefanya maandamano makali kwa ajili ya kupinga kundi liitwalo kundi ya shetani waliosema kwamba wanakwenda kujenga shule kwa jina la shetani.

Kundi la shetani wamejenga kanisa la kuabudu shetani na hasa wametangazia CNN kwamba wanataka kuijenga shule ambalo watakua wakifundisha kuhusiana na shetani.

Haya yamehuzunikisha wakristu wengi Marekani na kusema kwamba hawatakubali hayo yawepo kwa kua wanahitaji kuwafundisha watoto wao mabaya na maovu.

Wakristu wanasubiri serikali iwape kibali ili kwenda kuandamana mbele ya kanisa la shetani.

Uongozi wa wilaya ambapo hujengwa kanisa la shetani wametoa taarifa kwamba watu zaidi 87.000 wamekwisha saini kwa ajili ya kupinga kanisa la shetani.

Slobodnik amesema “mashabiki wa shetani wapo ndani ya giza kubwa na udanganyifu, wakati tunaposema Mungu abariki Marekani ni kwa ajili tunahakikisha, tunapenda Mungu, shetani hana na fasi katika mila yetu, hawezi ingizwa shuleni ili kuwashawishi watoto wetu.

Maandamano huko Marekani imekua uzoefu, kwa siku chache mashabiki wa Hilary Clinton walikuwa kwenye maandamano, hasa ni maandamano ya kuwapinga mashabiki wa shetani, inamaanisha rais mupya Donald Trump anaongezewa kazi ya kufanya.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.