kwamamaza 7

Mapigano kati ya M23 na FARDC yaendelea kwenye mpaka wa Congo na Uganda

0

Mapigano yaendelea Mashariki mwa Congo kati ya wapiganaji wa M23 pamoja na askari jeshi wa Congo (FARDC), sehemu ijulikanayo kwa jina la Bisanga jana tarehe 22 Februari 2017.

Wapiganaji wa M23 ambao hesabu yao haikujulina walikimbilia Uganda wakati walichomwa moto, na wengi kati yao walivuka na silaha zao, pia raia wa mahali nao waliingia Uganda wakiogopa mapigano.

Richard Karemire, msemaji wa jeshi la Uganda amesema ya kuwa wapiganaji wa M23 wapo miongoni mwa jeshi la Uganda UPDF wapatao 44, ila hakusemma ya kuwa ni wale walio toroka kambi la Uganda mwezi Januari.

Aliendelea nakusema ya kuwa 4 kati yao walikuwa na silaha pia raia wengi wamevuka wakitoka Congo wakielekea Uganda.

Jeshi la Congo lina hakikisha ya kuwa wapiganaji wa M23 wapo DRC, na wakishota kidole sehemu ya Tshanzu karibu na mpaka wa Uganda kama vile husema RFI.

Kupitia ukarasa wa Twitter, Monusco imetangaza ya kuwa itakwenda kushambulia mahali ambao husema wapo wapiganaji wa M23 wakitumia ndege za vita, ila Bertrand Bisimwa,  kiongozi wa M23 ngambo ya siasa amesema ya kuwa M23 iliingia Congo bila silaha na walikuwa na lengo la kurejea kwao nyumbani bila mapigano.

Mapigano hayo yanaendelea na taarifa husema ya kuwa kiongozi wa M23 Gen. Sultani Makengo yupo msituni akitayarisha vita.

Tarehe 20 Februari mapigano kati ya M23 na FARDC ilifanyika katika sehemu za Tamugenge na Matebe, wilaya ya Rutchuru, Kivu ya Kaskazini.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.