Swahili
HABARI

Maofisa wa polisi wa Rwanda na wa Uganda waanza mafunzo ya pamoja

Maofisa kumi na sita wa Polisi ya taifa ya Rwanda na wa Polisi ya Uganda wameanza jana tarehe 27 Juni mafunzo kuhusu nyanja mbali mbali muhimu za kudhibiti uhalifu.

Kwa mjibu wa taarifa hii kutoka gazeti la tovuti ya RNP, Mafunzo hayo ambayo yanaendeshwa kwenye makao makuu ya RNP yaliyoko Kacyiru , yanatilia mkazo

Maofisa hawa ambao wanafuata mafunzo yanayoendeshwa kwenye makao makuu yenye madhumuni ya kuwaongezea ujuzi wa kufanya upelelezi kwa makosa ya jinai na kuunoa ujuzi wa kitaaluma ambao unaufanya uendeshaji mashtaka kusima kwa misingi thabibiti ya kesi mahakamani.

Polisi ya Rwanda inashirikiana na Idara ya Polisi ya Ujerumani ya Kujadili makosa ya Jinai kwa kutoa mafunzo haya na yanakuja baada ya yale ya awali kuhusu mahali pa tukio la uhalifu .

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jean Marie Twagirayezu, Kamishna wa Muda wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya jinai (CID), kwa niaba ya Mukaguzi Mkuu wa Polisi, alipokuwa akiongoza hafla hiyo amesema kwamba mafunzo yanayopewa maofisa wa polisi katika nyanja mbalimbali kama upelelezi wa makosa ya jinai na ukaguzi wa usalama wa barabra yatasaidi polisi kuafikia lengo lake “ wanyarwanda wako salama, wanahusishwa na wanaridhika na yanayowatendewa”

Upelelezi wa mahali pa tukio la uhalifu una maana ,kuchukua, kuainisha, kuchunguza ushahidi unaopatikana muhimu kwa upelelezi kuhusu uhalifu wa aina fulani.

“ kurikodiwa kimaandishi kwa ushahidi katika mahali pa tukio la uhalifu ni muhimu sana kwa sabubu kunasaidia uhakika wakati wa kutoa hukumu na kutolewa kwa haki” amesema Twagirayezu.

Amewahimiza walioshiriki mafunzo kunufaika na fursa hiyo kwa kushika habari nyingi ziwezekanazo ili waje wakafanya vizuri katika taratibu za utoaji haki.

“ baada ya mafunzo haya munapaswa kuunganisha mhalifu na mwathirika kwenye mahali pa tukio la uhaifu, kubainisha utambuisho wa mwathirika na mtuhumiwa, kuwaleta pamaja mashahidi na ushadi wao na hata kumweka huru wasio na hatia” amesema

“Haya mafunzo ya zaidi yatahakikisha kuweko kwa haki kwa kutowapa nafasi wahalifu kukwepa sheria kwa kufuta ushihidi”..Joshua Mulwanyi, ambaye ni mojawapo wa washiriki wa mafunzo

Hakuna mhalifu anayeweza kukwepa sheria kulingana na kiwango hiki cha kuchunguza na kubainisha ushahidi” Mulwanyi asema.

Vincent Mugabo, Mwanamafaunzo mwingine kutoka RNP amesifia masomo wanayopewa kwa kusema yatamsaidia kujiimarisha kiujuzi na kuwa tayari kuhusisha ushahidi kutoka mahali pa tukio la uhalifu na mtuhumiwa

Kwa mjibu wa Rüdiger Stransk, mmoja wa wakufuzi kutoka Idara ya Polisi ya Ujerumani inayojadili makosa ya jinai

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com