kwamamaza 7

Mambo ya wajuzi wanaokubali utafiti wa RGB

0

Wakati utafiti ulionyesha mambo ya uongozi wa nchi Rwanda, ilionekana wazi ya kuwa wajuzi walidondoa yalio kuwa mioyoni mwao. Viongozi wa mahali, ulimwenguni,wa bara wanasifu kikao cha uongozi uliofanya utafiti Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

  1. Lamin Manneh: msimazi wa Umoja wa maataifa nchini Rwanda (One UN/UNDP Rwanda), eti “uongozi muzuri hutia maendeleo mahali pote na utulivu. Nchi 54 za Afrika zote zingelikua na uongozi bora, uchumi ingelisonga mbele na umasikini kupotea. Kundi na umoja wa mataifa lihusikalo na maendeleo (UNDP), unajisifu ku na mahusiano mema na RGB.
  1. Jon Clifton, ni kiongozi wa utafiti wa kundi lijulikanalo kwa jina la Gallup, lenye kikao Washington DC, USA. Eti “ utafiti huu huonyesha Rwanda waliyo yafikia na yale bado kuyafanya.
  1. Jendayi E. Frazer, aliyekuwa makamu wa wazir wa mataifa wa Marekani eti “ hakuna mbaye hawezi sifu utafiti uliofanywa na RGB, kwa ulifanywa kimataifa na wakisisitiza mambo ya Rwanda.
  2. Frank Okuthe-Oyugi, RGB imefanya mambo mapya mwaka wa 2016 kwa kuwa ni ukweli na mambo mengi yalibadilishwa kwa jina.

 

RGB ilionyesha utafiti huu tarehe 31 Januari 2017,  na waliendea hatua nane: utawala wa sharia, haki za bianadamu, ngambo ya wakaaji kwa kuwahudumia, usalama na utulivu, afia njema, kupiganisha rushwa, huduma njema,maendeleo ya uchumi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.