kwamamaza 7

Mambo mapya yatakayo onekana katika kikao cha 14 cha viongozi wakuu wa nchi

0

Kila mwaka hufanyika kikao cha viongozi wakuu wa nchi, na mwaka huu hutarajiwa kikao tarehe 25 Februari hadi 1 Mach 2017, Gabiro katika wilaya ya Gatsibo na itakuwa kwa hali ya utofauti.

Waziri katika urasi wa Jamhuri, Tugireyezu Venantia,  katika maongeze na rba alisema ya kua kikao hicho kitafanya muda wa siku tano wakati mwengi kilikuwa kikidumu siku tatu. Alisema pia ya kuwa viongozi watakuwa katika makundi tofauti kwa kutafuta suluhisho kuhusu maendeleo ya nchi.

Eti “Vikao ambavyo vilianzia vilikua kwa kutoa maongezi na katika maongezi maamzi yanatolewa. Kikao cha sasa inatarajiwa viongozi wa kila aina kuwa katika makundi, kama uchumi, kundi ya maisha bora, kundi la uongozi, sheria na haki za biandamu”.

Aliendelea na kusema ya kuwa kila wizara itatoa maongezi, wakisema walio yafikia na yale hawakuweza kufanya katika mpango wa miaka saba katika mpango wa serikali na kuangalia ni nini haikuwezekana na sababu ya hayo.

Katika kikao hicho inatarajiwa kuzungumzia ufanyaji wa biashara na viwanda wakitilia mkazo uwekezaji na yanayo fanyika ndani ya nchi.

Waziri Mugabo alisema ya kuwa mwanzo wa mwaka huu yalio amriwa katika kikao cha viongozi wakuu cha 13 mwaka nenda, ilikuwa imefikia kiwango cha 75%.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.