kwamamaza 7

Malawi:Vincent Murekezi anayeshutumiwa mauaji ya kimbari ametiwa mbaroni

0

[ad id=”72″]

Jana tarehe 8 Disemba 2016 ndipo mufanya biashara Vincent Murekezi, anayeshutumiwa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda ametiwa mbaroni na polisi ya Malawi.

Hayo ni baaada ya miaka karibu saba mahakama ya Rwanda ikiomba kwamba bwana huo arejeshejwe kama vile husema musemaji wa mahakama ya Rwanda Nkusi Faustin.

Gazeti la Nyasa Times husema kwamba waziri wa uhusiano na mataifa wa Malawi, Dalitso Kabambe amekubali na kusema kwamba mara nyingi Rwanda ilikua ikiomba Vicent Murekezi kufikishwa Rwanda.

Mmoja katika viongozi wa polisi Malawi, amesema kwamba Murekezi yuko mbaroni kwenye kikao kikuu cha polisi Malawi katika mji wa Lilongwe wakisubiri kujaza vitambulisho na kuruhusiwa kwenda Rwanda na alikamatwa akiwa kwake nyumbani pajulikanapo kama sehemu ya 49 na kupelekwa polisi ya sehemu hiyo mbele ya kusafirisha kwenda Lilongwe.

malawi

Inatarajiwa kama atafikishwa kwanza mbele ya mahakama ya Malawi na namna ya kwenda Rwanda ijapokua yeye husema kwamba haitawezekana kwenda Rwanda.

Inasemekana kwamba serikali ya Malawi ilimusaidia kupata pasepoti ya Malawi yenye namba MA107817 na kupewa jina la Vincent Banda mwenye ukoo wa Tanzania, ijapokua pasipoti yake ya Rwanda yenye namba PC939663, huonyyesha kwamba majina yake ni Murekezi aliyezaliwa Ngoma katika wilaya ya Huye na huko ndipo anashitakiwa kusika na mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi.

malawi1

Utangazaji habari wa Malawi husema kwamba kupitia rushwa ndipo alipewa pasipoti na utaifa wa Malawi, na wakati akitafuta shikwa polisi huzuia.

Anashutumiwa makosa ya mauaji ya Kimbari , kuua no kuongoa raia, kupangilia mauaji ya Kimbari na mengine.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com, chanzo:imvaho

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.