kwamamaza 7

Malawi: Serikali ya Malawi imeomba tena kupeleka Vincent Murekezi Rwanda

0

Raia wa Rwanda, Murekezi Vincent anayeishi Malawi anafikiliwa husika na mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, ila anapiganisha swala la kupelekwa Rwanda baada ya mkataba wa nchi hizo mbili wa kupeana wakosefu waliokimbilia kati moja ya nchi hizo, kutokuwa na mkataba huo ilikuwa kwazo kubwa la kumupeleka Rwanda.

Mwezi nenda ndipo mwendesha mashataka wa Malawi alipinga hitaji la kupeleka Murekezi Rwanda akisema ya kuwa nchi hizo hazina mkataba wa kupatiana wakosefu na kusema pia kwamba serikali ya Malawi haina budi kwa sababu haijazi yanayo hitajika wakati Murekezi alifikishwa mahakamani.

Baada ya kusaini mkataba huo, serikali ya Malawi ilikwenda tena mahakamani ili kuomba Murekezi apelekwe Rwanda kama vile huhakikihswa na msaidizi wa serikali kisheria, Steven Kayuni akisema ya kuwa serikali imejaza majukumu yanayohitajika.

Wapoka Kita msaidizi wa Vincent Murekezi kisheria yeye husema ya kuwa alikua hajui ombi hilo la serikali kama vile gazeti la Nyasatimes husema.

Taarifa husema ya kuwa raia huo wa Rwanda yupo katika azibio la kifungo cha miaka tano akishutumiwa rushwa aliopana mwaka wa 2008 akiwa pamoja na Komani Nyasulu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa husema ya kuwa mwaka wa 2008, kituo kinacho husika na kupiganisha rushwa kwamba tarehe 30 Disemba 2007, Komani Nyasulu aliye husika na malipo ya kodi alipokea pesa  za Malawi 200,000 kutoka kwa mfanya biashara Vincent Murekezi, alitoa rushwa hio ili akwepe kodi la miliyoni 2,200,000 kama huhakikisha msemaji wa kituo cha kodi Egrita Ndala.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.