kwamamaza 7

Malawi: Mfanyabiasharo ameandaa mgogoro kwa ajili ya Murekezi anayeshutumiwa mauaji ya Kimbari

0

[ad id=”72″]

Kundi la wakimbizi kutoka Rwanda ambao hufikiliwa kuhusika na mauaji ya kimbari munamo mwaka wa 1994, wameunda mpango wa kupiganisha ili mwenzao Murekezi asipelekwe Rwanda.

Gazeti Nyasa Times husema kwamba wakimbizi hao wenye ukoo wa Rwanda pamoja na raia wengine wa Malawi wamejiunga kwenye kundi moja hapo kwa mfanya biasha bintanga ili kuleta mzozo ndani ya nyumba ya mahakama wakati Murekezi atakuwa akisambishwa kuhusu kupelekwa Rwanda.

Hayo ni taarifa iliyotolewa na mtu mmoja aliyezungumza na gazeti hilo akisema kwamba watakwenda mjini Lilongwe tarehe 13 Disemba 2016 ili kuuleta mzozo, aliendelea na kusema tena kwamba mfanyabieshara mwengine akiwa Bishop wa kanisa bwana Bishop Abraham Simama ametoa miliyoni 50 ili mahakama isifanye kazi inavyopasha, na elfu 10 kwa kila yeyote atakaye fanya mzozo.

[ad id=”72″]

Bishop Simama asema kwamba kama hafikilie lengo lake hatafanya tena biasha nchini Malawi, atarejea kwao Tanzani, na wengi ambao huishi Malawi wamehofia na kushikwa na oga kwa kushikwa kwa Murekezi wakifikilia kwamba mwisho wote ambao walihusika na mauaji ya Kimbari nchi Rwanda watakamatwa wakiwa huko Malawi.

Murekezi hushutumiwa pia kuwa na utaifa wa Malawi kupita njia haramu, kwa kuwa pasipoti zake mbili zina majina tofauti na picha ni moja , moja ina majina ya Vincent Murekezi mwenye ukoo wa Rwanda, ingine ni  Vincent Banda mwenye ukoo wa Tanzania.

Husemwa kwamba Malawi huwaweka raia wa Rwanda wengi ambao hushutumiwa kuhusika na mauaji ya Kimbari, na waliingia kupitia mpaka ambayo hailindwi vizuri.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.