kwamamaza 7

Makuza Bertin, Mmiliki wa Ghorofa la ‘M Peace Plaza’ na ‘Rwanda Foam’ afariki

0

Rwanda imepoteza mfanyabiashara imara, leti Makuza Bertin aliyefariki duniani katika usiku wa tarehe 2 Novemba, 2016 kwa ajili ya ugonjwa wa ghafla.

Makuza Bertin ndiye mmiliki wa kiwanda cha RwandaFoam ,kinachozalisha magodoro na jengo kubwa la M Peace Plaza linalokuwepo kati kati mjini Kigali.

[ad id=”72″]

Taarifa zinasema kuwa Bertin hapo jana aliamka akiwa na maisha mazuri na hata siku za nyuma yeye hajapata ajali wala kulazwa hospitalini kuugua maradhi yoyote.

M Peace Plaza
Ghorofa la ‘M Peace Plaza’ lilijengwa na milioni 40 za dola

Lakini wakati alipokuwa katika gari lake akitembea, aliomba dereva wake kumpeleka hospitalini kwa sababu alikuwa anahisi vibaya, moja kwa moja aliwasilishwa hosptalini ya King Faisal iliyoko mjini Kigali ambapo alipokata roho.

Ripoti zinasema kwamba Bertin amefariki kwa uchovu ijapokuwa hakuna taarifa rasmi ya sababu ya kifo chake.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.