Rais Kagame   jana amehojiana na mwenzake Museveni kuhusu suala la visa vya kuwateka nyara,kuwatesa na kuwafunga kinyume na sheria Wanyarwanda nchini Uganda na maafisa wa upelelezi wa Uganda(CMI) kwa kushtakiwa kuwa wapelelezi.

Rais Museveni amesema kuwa inabidi maafisa wa nchi hizi mbili kukubaliana na kufanya uchunguzi kamili kuhusu hili suala.

“Siyo katika upelelezi tu,na kwa mambo mengine ya maendeleo.Kuna Simu miliyoni 23 nchini  Uganda,kwa nini waziri mmoja hawezi kumpigia aliye nchini Rwanda na kuzungumza?”

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Nafikiri kuwa tunahitaji kufundishwa mambo ya kupiga simu” ameongeza

Rais Museveni amesisitiza kwamba kunahitajika mawasiliano kamili ili kulahisisha kazi za kila siku kwa kutoa mfano wa Afrika Kusini.

“Kulikuwa suala la mschana aliyetekwa nyara nchini Afrika Kusini,nilimpigia rais Ramaphosa tukaondoa utata”

Rais Kagame ameeleza kwamba inastahili kutolewa uthibitisho wa kutosha kumkamata fulani.

Akijibu kuhusu suala la raia wa Uganda ambao wanafukuzwa kazini nchini Rwanda.

“Kuna mambo mengi ambayo yanatangazwa kinyume na ukweli,tutaungana mkono kutatua haya”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ushirikiano kati ya Uganda ulianza kuwa mkia wa mbuzi tangu Agosti mwaka jana 2017.Uganda ilikuwa ikishtaki Rwanda kuwateka nyara wakimbizi asili ya Rwanda kinyume na sheria,upelelezi na mengine. Haya yalifuatwa na kuwafunga gerezani Wanyarwanda karibu 1000.

Kwa Upande mwingine,Rwanda ilipiga marufuku haya mashtaka yote na kuinyoshea kidole Uganda kushirikiana na chama cha upinzani,RNC cha Jenerali Kayumba Nyamwasa.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.