kwamamaza 7

Makanisa yameombwa kupiganisha itikadi ya mauaji ya Kimbari

0

Uongozi wa jimbo la Mashariki umeomba viongozi wa makanisa na madini kusaidia waumini ili kupiganisha itikadi ya mauaji ya Kimbari inayo onekana sehemu tofauti kwa wakati huu wa siku za kukumbuka walio uawa wakati wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi kwa mara ya 23.

Eti “Nilipenda tena niombe viongozi wa makanisa kutusaidia kwa kupiganisha itikadi ya mauaji ya Kimbari kwa kuwa watu wengi huwashiriki na kuamini munayo waambia, mukiwambiya kuacha itikadi ya mauaji ya Kimbari”.

Askofu Birindabagabo Alex, kiongozi wa kikao cha kanisa Anglikani huko Gahini, alihakikisha kwamba neno la Mungu kwa kupiganisha itikadi linahitajika.

Sheikh Nakabonye Ibrahim, Imam mkuu pa Rwamagana, naye anakubali upande wa madini kwa kupiganisha itikadi ya mauaji ya Kimbari.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mugema Fabrice, ni mkaaji, naye huhakikisha kwamba makanisa na madini wakitaka wanaweza punguza itikadi ya mauaji ya Kimbari.

Et“Sote tunaomba Mungu, hakuna aliye tulazimisha kufunga maduka, hizo nguvu za makanisa wazitumikishe kwa kutufundisha kuhusiana na itikadi ya mauaji ya Kimbari ili watu waachane nayo”.

Mwaka jana wakati wa kumbukumbu ya ukumbusho ya mauaji ya Kimbari kwa mara ya 22, jimbo la Mashariki ndilo ambalo palionekana matendo na maneno ya itikadi ya mauaji ya Kimbari kwa uwingi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki Aimant

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.