kwamamaza 7

Makamu rais wa India amewaheshimu walio poteza maisha wakati wa mauaji ya Kimbari

0

M Hamid Ansari, makamu rais wa India alitia maua kwenye kumbukumbu la ukumbusho wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi Kigali na alishukuru Wanyarwanda walio jenga umoja.

Ansari, yupo katika ziara ya siku tatu Rwanda, alitembelea kumbukumbu la ukumbusho akiwa pamoja na Dr. Jean Damascene Bizimana na kiongozi wa hio kumbukumbu, Honore Gatera.

Baada ya kutia maua na kuwapa heshma, makamu rais wa India, alisema ya kuwa alihuzunikishwa na mataifa ambao hawakujali Rwanda wakati wa mauaji ya Kimbari.

Ila kasema tena ya kuwa alifurahishwa na jinsi Wanyarwanda walijijenga upya na kuacha mafikara ya ubaguzi, na wakisonga mbele kwa niaba ya maendeleo.

Eti “Kutembelea kumbukumbu hili la ukumbusho ni jambo ambalo halitasaulikana India na kwangu binafsi”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Makamu rais Ansari alifafanuliwa historia ya Rwanda, mbele ya utawala wa ukoloni na jinsi ukoloni ndio wakapanda mbegu ya ubagauaji kupitia makabila na utawala mbaya ulio onekana katika nchi, na baada ya uhuru walielekeza kwenye mauaji ya Kimbari dhidi ya watusi mwaka wa 1994.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.