Home HABARI MPYA Major Bayingana anatayarisha vita ya M23 akijiswali kama Gen Makenga yuhai
HABARI MPYA - February 9, 2017

Major Bayingana anatayarisha vita ya M23 akijiswali kama Gen Makenga yuhai

Siku nenda ilitangazwa kuwa  Gen Sultani Makenga alitoroka kambi mahali alipokuwa Uganda na wengine husema kuwa yawezeka alijeruhiwa wakati alishambuya Congo, na hayo hayakati moyo wapiganaji wa M23 kwa kushambulia serikali ya rais Kabila.

Major Emmanuel Bayingana mmoja wa wapiganaji wa M23 katika kambi Uganda, pamoja na utangazaji wa habari wa ugandaradionetwork (URN), alisema ya kuwa wapo tayari kwa mapigano.

Hata anasema hivyo, anahakikisha ya kwamba wana wasiwasi kwa ajili ya usalama wa Gen Makenga ambaye hayupo kambini Uganda eti “ ni vigumu kueleza kwamba Gen Makenga yupo mzima ao amefariki”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mapigano ya M23 yanayo semwa, Captain Willy Ngoma alisisitiza hayo kwenye maongezi na gazeti la URN, tarehe 8 Februari 2017 akiwa katika kambi la Bihanga wilaya ya Ibanda, eti “hatutabaki Uganda tukila na kunywa wakapi mapigano yetu yanaharibiwa na jeshi la Congo”.

Capt Willy Ngoma anasema ya kuwa baada ya kutia silaha chini mwezi Disemba 2013, jeshi la MONUSCO hawakusaidia lolote, na wamoja wa wapiganaji wa M23 walio kutana MONUSCO waliteswa vikali sana na jeshi la Congo.

Lt. Colonel Innocent Rukara, mwenyewe katika kambi hilo anasema ya kuwa amepoteza matumaini na hajaiona jinsi serikali ya Congo inatafuta suluhisho kwa ajili ya amani.

Wapiganaji hao wanasema ya kuwa serikali ya Congo imeshindwa kutimiza mkataba wa amani M23 iliyo tiya mhuri Disemba 2013, ni hapo mwanzo wa mashambulizi.

Baada ya mapigano kati ya jeshi la Congo FARDC na kundi la watu wenye silaha ila viongozi waliwazia kuwa ni wapiganaji wa M23 walio zuka, Congo huendelea kushituka shambulio la M23.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.