Swahili
Home » Majina ya askari jeshi 9 wa Burundi waliofukuzwa kutoka Centrafrika
HABARI MPYA

Majina ya askari jeshi 9 wa Burundi waliofukuzwa kutoka Centrafrika

Soldiers from Burundi arrive at the airport in Bangui, capital of the Central African Republic, on Dec. 15 to join the African Union and French efforts to restore security in the troubled nation.

Taarifa ambayo hutoka Burundi na kusema kwamba wanajeshi 9 waliokua utumwami kuleta amani nchini Centrafrica wamekimbizwa hususani makoso waliyoyafanya mbele kwenda utumwani.

Matthew Russell Lee, anaye husika na utangazaji  habari katika jeshi ambalo lipo huko centrafrica (MINUSCA) ametangaza kwamba wameamua kuwarejesha Burundi jana tarehe 24 Novemba 2016.

Amesema kwamba askari hao 9 wamefukuzwa kwa sababu walivamia ubinadamu nchini Burundi hata vile walikua wanavamia wadada hata wamama Centrafica kama vile Burundi.

Na majina yao walio fukuzwa na hayo:

1.Major Ferdinand Niyongabo.
2. Capitaine Deogracias Ahishakiye
3. Capitaine Epitas Nduwamahoro
4. Capitaine Medico Nzitunga
5. Capitaine Diomede Sinzumusi
6. Capitaine Jean Marie Nimpagaritse
7. Capitaine Richard Gateretse
8. Capitaine Diomede Ntukamazina
9. Lieutnant Prosper Nkurunziza

 

Kama vile husema bujatoday, wanajeshi hao walikua katika kambi ya pili ya MINUSCA huko Centrafrica, ila serikali ya Burundi haija sema lolote kuhusu kufukuzwa kwao.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com