kwamamaza 7

Maj Gen Kagame alisema watu wa Gisenyi wanao tumia mipaka isiyo julikana ni adui

0

Katika mkutano wa usalama pamoja na raia wa Gisenyi, viongozi wa usalama na Serikali, Maj Gen Alex Kagame, anayeongoza jeshi katika jimbo la Mangharibi, alisema kwamba watu wanao tumia mipaka isiyo julikana kati ya Rwanda na Congo hushikwa kama adui wa nchi.

Maj Gen Kagame alisema watu hao wanatumia mipaka isiyo kubaliwa huvamia usalama wapo katika ngazi tatau.

Wamoja ni wanaofanya biashara maghendu wakihepa kodi au ushuru, hao huharibu uchumi wa nchi na hawapendi nchi iwe na maendeleo.

Wengine ni wenye kuvukisha dawa za kulevya wakija kuharibu vijana na kuharibu siku za usoni za Rwanda.

Eti “wa ngazi ya tatu ni wabaya sana, ni FDLR, siku chache tulikamata mmoja akiwa anatafuta vijana wakupeleka misituni Congo, kwa sababu tupo na usalama alikamatwa”.

Maj Gen Alex Kagame anasema kwamba wenye kuwa katika ngazi hizo tatu huwa adui wa nchi, akiomba kila raia kuwa jicho la usalama wakipiganisha watu hao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jeremie Sinamenye kiongozi wa wilaya ya Rubavu aliomba raia kutia taa za mwangaza kwenye nyumba zao kwa sababu husaidia ngazi za usalama na akiwaomba kutoa pesa za kujilindia usalama mahali wanapo ishi ili wapiganishe wizi na mengine yanayo weza vamia usalama katika mji wa Gisenyi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.