kwamamaza 7

Maiti ya mtoto changa yapatikana jalalani ikiwa kifukoni wilayani Rubavu

0

Maiti ya mtoto changa asubuhi hii 25 Aprili  imepatikana tarafani Rubavu mjini Rubavu ikiwa kifukoni jalalani.

Katibu mtandaji wa tarafa ya Rubavu,Honore Mugisha amehakikisha hili na kutangaza upelelezi umeanza kumtambua mama mzazi wa huyu mtoto changa.

“Ni ukweli,watoto wameona kifuko ambacho ilikuwemo maiti ya mtoto change”

Tunasubiri polisi ila nasi tumewataka wakazi kutusaidia kujua nani amefanya hili baadhi ya wale ambao walikuwa wajawazito”ameongeza

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hii si mala ya kwanza kupatikana wazazi ambao wanatupa watoto change kwani tarehe 4 Machi 2018 mzazi amabaye hakutambulika aliwatupa mapacha wawili kwenye barabara.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.