kwamamaza 7

Mahakama ya Rwanda yaanzisha uchunguzi wa ushiriki wa Ufaransa katika mauaji ya kimbari

0

Mahakama ya Rwanda imeomba uongozi wa mahakama makuu ya Ufaransa kuwafuatilia wanajeshi 20 wa Ufaransa waliohusika na mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mnamo mwaka wa 1994 nchini Rwanda.

Kutokana na taarifa ambao imetokea, upelelezi utafanyika kwa ajili ya wanajeshi wa Ufaransa, na Ufaransa inaombwa kurahisisha kupitia ubalozi nchini humo kwa ajili ya kuwauliza maswali wanajesi hao kwa yale ambayo husemwa kwamba walihusika katika mauaji ya kimbari.

[ad id=”72″]

Kwa upande wa Rwanda, mwendesha mashitaka mkuu Richard Muhumuza amesema kwamba tayari wamezungumza na uongozi wa Ufaransa na wanaamini kuelewana vizuri ijapokua mawasiliano na nchi hio si nzuri sana kama vile habari husema.

Tangazo ambalo limetiwa muhuri na Muhumuza Richard tarehe 29 Novemba 2016 husema kwamba wakati upelelezi unafanya itabidi wengine viongozi wa Ufaransa kutoa taarifa ili kusaidia mahakama.

Orodha ya wanajeshi hao ina uhusiano na nyingine ya wanajeshi 22 waliotolea na wahusika waliofanya utafiti na upelelezi tarehe 31 Oktoba.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.