kwamamaza 7

Maendeleo haihamasishwi na mtu mmoja hata awe nani

0

Rais Kagame alionyesha ya kuwa maendeleo ni kwa kufanya kwa pamoja na kama hakuna ushirikiano wa kila mmoja hakuna maendeleo.

Hayo rais alisema usiku wa ijuma tarehe 10 Mach 2017 katika chuo kikuu cha Harvard huko Marekani akiwa pamoja na wanafunzi wa chuo hicho wanao husika na utafiti kwa ajili ya maendeleo kimataifa kamili (Centre for International Development).

Rais Kagame alikumbusha kwamba Afrika haina la kuchagua isipo kuwa kutafuta suluhisho wenyewe la matatizo yanao wakumba bila kusubiri misaada.

Alipo sema kwa ajili ya mabadiliko yalio fanyika katika umoja wa Afrika, alionyesha jinsi kunastahili mipango hodari ili kuwa na mwelekezo unao fikia maendeleo. Hata kama bara la Afrika huonyesha uzaifu, wamepiga hatua.

Katika mkutano wa jamii ya umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, mwezi Januari mwaka huu, wote walishangilia kurudi kwa Moroco katika jamii kwani ilikuwa imetoka mbele na jina lingali OUA mwaka wa 1984 baada ya kupokea nchi ya Sahara na kuongozwa na Moroco.

Serikali ya Sahara na Polosario, chama ambacho kilipigania uhuru wa Sahara (Saguia el Hamra) na Rio de Oro huko  Moroco.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Maamzi ya Moroco kutoka AU [OUA yalifanywa na mfalme Hassan II, na kijana wake Mohammed VI, akaamua kurejesha Moroco katika jamii.

Kurudi kwa Moroco katika Jamii ni moja inayo onyesha ya kuwa Afrika yenyewe itatafuta suluhisho katika swala tofauti kama vile rais Kagame alivyo sema.

Si mara ya kwanza rais Kagame kutoa maongezi katika chuo kikuu cha Harvard, hata mwaka wa 2016 alizungumzia watu, alipo sema ya kuwa maendeleo hutokana na kubalidilisha mafikara kuliko kutegamia mipango ya serikali na misaada.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.