kwamamaza 7

Madaktari  wakamatwa kwa kuwapokonya watoto wenye ukimwi

0

Ofisi Kuu ya Undeshamashtaka nchini (RIB) imetangaza kwamba imewakamata madaktari wawili wanaotuhumiwa kupoteza fedha za watoto wenye virusi vya ukimwi.

Waliokamatwa ni Mukasine Clemence na  Jean Marie Vianney Rukeraho.

Msemaji wa RIB, Modetse Mbabazi amesema fedha zilizoibiwa ni msaada wa Globa Fund.

Upelelelezi unaendelea kuhusu kesi hii.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.