kwamamaza 7

Maandalizi ya uchaguzi wa rais nchini Rwanda inasonga mbele

0

[ad id=”72″]

Usisimuzi wa kitendo cha uchaguzi wa Rais nchini Rwanda inaendelea katika jimbo la Mangaribi katika sehemu nyingi za wilaya ambazo huunda jimbo hilo la Mangaribi ili kujitayarisha mapema ili siku ya uchaguzi ikuwe salama sana.

Mujawamariya Vestine, mufanya kazi katika kikao cha uchaguzi wilayani Rubavu amesema kwamba sherti kila raia wa Rwanda ambaye amekua mzima kwa uchaguzi asisimuwe kwa ajili ya uchaguzi na kufanya uwajibu wake ili matayarisho yafanyike vizuri”, kama vile huandikwa na imvaho.

Mujawamariya Vestine, eti “ uchaguzi wa rais sherti utayarishwe mapema sana, kwani kuna mengi yanayobidi kufanya kama kuchunguza orodha kua kila mtu ameandikwa”.

Mukeshimana Nasson na wakaaji wengine wa Rubavu  wamesema kwamba usisimuzi ulianza mapema ili kila mahali wajue wanayo pashwa kuyafanya mapema na kuelewa vizuri kuhisiana na uchaguzi, na wanayoombwa ili usisimuzi uendelee hata fasi nyine ili kuandaa vizuri.

Bisangabagabo Sylvestre, kiongozi wa kata ya Kivumu katika wilaya ya Rutsiro anahakikisha kwamba maandalizi yasonga mbele na huenda vizuri na huomba wakaaji kwenda kila wakati kwenye mazungumzo ya usisimuzi na kuyatiya kwa matendo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.