kwamamaza 7

Maajabu:Chombo cha habari nchini Uingereza chamuita Museveni rais wa Rwanda

0

Chombo cha habari kukuu duniani The Times jana kimeshangaza wengi  baada ya kuandika kwenye habari kuwa Museveni ni Rais wa Rwanda.

Tukio hili limewafanya wengi kujiuliza kama hiki chombo cha habari kimefanya kosa ama ni kuna sababu nyingine ya siri.

Kwenye kichwa cha habari ,The Times imeandika” Africa sleeps too much,Says President Museveni of Rwanda” yaani Rais wa Rwanda Museveni amesema kwamba Afrika ilisinzia.

Pengine,kwenye siku moja The Times iliandika habari nyingine kuhusu aliyekuwa mlinzi wa Rais Kagame,Noble Marara na nyingine kwamba Rwanda inastahili kulaumiwa sawa na Russia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na hili,The Times ni chombo cha habari ambacho hakikuonekana mala nyingi kikiandika habari nyingi kuhusu Rwanda ila mala hii ilikuwa ni kinyume.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.