kwamamaza 7

M23 inashutumu jeshi la Congo kuwafyetua lufaya ya lisasi wakati walirejea mikono mitupu

0

Siku nenda ilisemekana mapigano kati ya wapiganaji wa M23 na jeshi la Congo, ila wapiganaji wa M23 wanasema ya kuwa FARDC iliwashambilia wakati wao walikua wakirejea kwao kuishi katika amani bila silaha.

Tangazo lililo tolewa tarehe 22 Februari 2017, husema ya kuwa wapiganaji hawakukuwa na mpango wa mapigano, ila walichokozwa wakirudi kwao wakitoka ukimbizini.

Msemaji wa serikali ya Congo, Lambert Mende akizungumza na radio Okapi alisema kama M23 walikuwa na mpango wa kurudi katika amani wangelitumia njia halali.

Eti: “FARDC wapo na haki yao ya kuzuia kila shambulio la kila kundi lenye silaha, inchi ina mipaka, mtu akitoka nje ya nchi na kutafuta kuingia hata kama ni kwao, haingii kama mwizi, akiwa na silaha ao kwa mkazo, kuna vitambulisho ajazavyo mbele ya kuingia”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wapiganaji waendelea na kusema ya kua serikali inazarau mkataba wa Nairobi na M23 kakubali kuacha mapigano.

Novemba 2013, ndipo M23 ilitia silaha chini na wakafanya mkataba na serikali ya Congo, ila wanashutumu kuzarau walio yakubali.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.