kwamamaza 7

Lt Gen Mushyo Kamanzi amefanywa kuwa jemadari wa jeshi la UN Sudani ya Kusini

0

António Guterres katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Lieutenant General Frank Mushyo Kamanzi amefanywa Jemadari wa Jeshi la Umoja wa Mataifa wenye kuwa katika utumwa wa kurejesha amani Sudani ya Kusini (UNAMISS).

Lt Gen Kamanzi yupo na ujuzi wa miaka 28 katika  huduma za kijeshi hata uongozi wa jeshi.

Tangu mwanzo wa mwaka 2016, Lt Gen Mushyo Kamanzi alikuwa kiongozi wa jeshi la Umoja wa Mataifa wenye kuwa katika utumwa wa amani katika jimbo la Darfur, Sudani (UNAMID).

Kati ya 2012 na 2015 Lt Gen Kamanzi alikuwa jemadari wa jeshi wanao piganiya chini katika nchi ya Rwanda, aliwai kuwa kiongozi wa chuo kikuu cha jeshi kati 2010 hadi 2012. Kati 2006 na 2007 alikuwa kiongozi makamu wa jeshi la umoja wa Afrika huko Sudani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Lt Gen Mushyo Kamanzi yupo na cheti cha kituo cha pili cha chuo kikuu katika usalama wa nchi alichotoa katika National Defense University huko Washington,DC.

Alifuata masomo ya kijeshi katika shule la Nigeria lijulikanalo kwa jina la “Armed Forces Command and Staff College” pamoja na “Army Command College” huko Nanjing katika nchi ya Uchina.

Lt Gen Frank Mushyo Kamanzi  ana umri wa miaka 53, ni mume akiwa na watoto watano.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.