kwamamaza 7

Lt Gen. Germain Niyoyankana na wengine 21 wameondolewa katika jeshi la Burundi

0

[ad id=”72″]

Lt Gen Germain Niyoyankana aliye wai kua jemadari mkuu wa jeshi la Burundi hata pia waziri wa jeshi, tarehe 31 Disemba ameondolewa katika jeshi la Burundi akiwa pamoja na wengine ambao waliku na vyeo vya hali ya juu.

Kwenye tangazo ambalo lilitiwa mhuri na rais Nkurunziza wa Burundi wanajeshi hao walio ondolewa ni 22 kwa mwanzo ni jina la  Lt Gen Germain Niyoyankana.

Husemwa kua wanajeshi hao wote walikua katika jeshi la zamani (EX-FAB) bado mkataba wa Arusha kutiwa mkono mwakani 2005 wa kufanya jeshi moja na wale ambao walikua msituni.

Katika wanajeshi hao 22 aliye na cheo cha juu ni Lt Gen Germain Niyoyankana, alivalishwa mwaka wa 2010, mwenye ranka ndogo ni Capt. Gahungu Casimir.

buja

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.