kwamamaza 7

Yanayojiri moja kwa moja: Wanyarwanda washiriki uchaguzi wa rais atakayewaongoza katika muhula ujao.

0

Takriban wanyarwanda milioni 7 wenye umri wa kupiga kura wameanza shughuli ya uchaguzi nchini mwote kufuatia siku ya jana ambako wanyarwanda wanaoishi ng’ambo walikuwa wakipiga kura.

 Wapiga kura wamekuwa tayari wakishika milolongo kwa masaa ya usiku huku wakingoja vyumba vya kupigia kura kufunguliwa.

Wananchi kwenye mlolongo

Wanyarwanda watakuwa wakichagua kati ya wagombea watatu ambao ni Frank Habineza wa chama cha Green, Paul Kagame wa chama tawala cha RPF na hata Mpayimana Phillipe ambaye ndiye mgombea huru pekee.

Katika vituo vyote vya Uchaguzi unapakuta mapambo kama yale ya harusi ikiwa wanyarwanda nao wanasema uchaguzi kwao ni kama vile harusi.

Kituo cha Camp Kigali
Kituo cha Nyagihunika katika wilaya ya Bugesera

 

Kuhusu wagombea inatarajiwa kwamba mgombea Frank atakuwa akipigia kura kwenye kituo cha Shule la Musingi la Camp Kigali saa sita hapo Frank Habineza akiwa amekwisha piaga kura yake saa mbili na Paul Kagame atapiga kura yake kwenye Rugunga.

Sehemu za Kigali

Hapa ni kwenye kituo cha Akabahizi kilicho tarafa ya Gitega, wilaya ya Nyarugenge ambako wamejiandaa kweli kweli kulingana na mapambo yanayoonekana

Hapa Furaha, ambaye ni raia mkazi wa eneo lile alituambia wamefanya sherehe ya kitamaduni kwa ajili ya maandalizi ya siku hiyi muhimu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hema ya kwa ajili ya wenye Ulemavu

sehemu zingine za mji huyu napo shuguli inaendelea, hapa ni kituo cha campa Kigali ambako kuna pia waangalizi wa kura kama maeneo mengine.

Kituo cha Camp Kigali
Bibi aliyepiga kura kwa mara ya Kwanza

Mwangalizi wa kura

Mnamo saa 8: 30 ndipo Dkt. Frank alipokuwa akimaliza kupiga kura kwenye Kituo cha Kimironko akifuatana na mkewe ambako waandishi wa habari wamemwuliza maswali mengi.

Frank alipomaliza kupiga kura

Mkewe Frank amesema anafuraha sana ya kushirikiana na ngazi nyingine za uongozi katika mhula wa rais ujao ikiwa mumewe atachaguliwa kuwa rais kwa kuwa yuko tayari kuitwa mke wa rais muda si muda.

Frank akipiga kura
Mkewe Frank Habineza

Jimbo la Mashariki

raia wa Jimbo la mashariki nao wameamkia katika shughuli hii ambayo ni chombo cha haki ya raia. hapa kwenye kituo cha Uchaguzi cha Groupe Scolaire Nyamata ambako wananchi wamekuwa tayari kwa uchaguzi kwenye masaa ya asubuhi.

mapema saa 5:30

tarafa ya Nyagihunika napo kulikuwa na mapambo ya kama harusi

Watumishi wa kujitolea wa Tume ya Uchguzi

Wilaya ya Magharibi

raia waliopigia kura kwenye kituo cha kura cha Bigutu Ruharambuga wilaya ya Nyamasheke na Rusizi waliamka mapema kushiriki uchaguzi ambako wanasema hadi sasa kuna hai ya utulivu.

Kiapo katika Bigutu
Florida mwenye umri wa miaka 80

Raia huyu amesema anaona tofauti na uchaguzi wa tawala zilizotangulia

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

Kulikuwa na wananchi wengi kwenye kituo cha Ntendezi

Na hapa maeneo mengine napo ya wilaya ya Rusizi jimbo la Magharibi wamekuwa katika uchaguzi.

 

Kituo cha Mururu katika Rusizi
Raia wa Kamembe wakingoja kupiga kura kwenye kituo cha IPEC

Majira ya saa tanu ndipo Paul Kagame wa chama cha RPF na ambaye ana uwezekano mkubwa wa kushinda uchaguzi huu alipiga kura yake majira ya saa tano huku akifuatiwa na wanafamili yake.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.