Swahili
Home » Kwa ushirikiano na raia, 3 wametiwa mbaroni kuhusu dawa za kulevya
HABARI

Kwa ushirikiano na raia, 3 wametiwa mbaroni kuhusu dawa za kulevya

Pamoja na ushirikiano na raia, polisi ya Rwanda katika wilya ya Nyamagabe na Gatsibo, wamekamata dawa za kulevya kama bandi na pombe isiyo kubaliwa tarehe 18 April.

Msemaji wa Polisi jimbo la Kusini, Chief Inspector of Police(CIP) Andre Hakizimana alisema kwamba Ndayisaba Tharcisse mwenye umri wa 31 anayeishi tarafa ya Kitabi, Nyamagabe alikamatwa na polisi baada ya kupewa taarifa na raia na alikuwa na bangi.

Wengine ni Munezero Franck na Bizumutima Patrick walio kamtwa wakiwa ndani ya gari katika tarafa ya Kabarore wilaya ya Gatsibo wakiwa na bokse 2 za Zebra Waragi kila mmoja wakitoka Matimba.

Hapo ni baada ya msafiri pamoja nao katika gari kutuma ujumbe kwenye simu (SMS) na polisi ya Kabarore ikasimamisha gari ilio kuwa ikielekeza Kigali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

CIP Hakizimana   alitoa uito akiomba raia kuendelea kutoa taarifa kwa ajili ya wale wanatumia hayo, usafirisaji wa dawa za kulevya na pombe zisizo kubaliwa Rwanda, isipokuwa kosa hata huharibu afya.

Kwa mwisho aliwashukuru washiriki kwa tendo hilo kwa sababu Wanyarwanda wametambua kupiganisha dawa za kulevya na kuzuia kwa sababu haiko kazi ya ngazi za usalama pekee yao.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com