kwamamaza 7

Kwa nyakazi hizi kuna Waumini wanaosali wakiwa uchi kanisani-PICHA

0

Naomba kuanza kwa kusema hakuna biashara isiyokuwa na wateja duniani, Biashara zote zinawateja wake hata kama utaamua kuuza maganda ya ndizi yatanunuliwa tu.

Mfano huo ulivyo Imenidhihilishia hata katika IMANI ZETU huwezi kuamini kwamba, kila Imani haikosi waumini hata kama ukianzisha kanisa la kusali miguu juu kichwa chini watakuja tu kama kondoo.

uchi1 uchi

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.