Swahili
HABARI MPYA

Kwa nini Rujugiro hawezi kufanyia biashara nchini Rwanda?

Tajiri Rujugiro Ayabatwa Tribert/Picha:Intaneti

Tangu mwaka 2009 tajiri Ayabatwa Rujugiro Tribert Ayabatwa aliondoka nchini na hakufanya uekezaji wa mali yake baadaye nchini Rwanda ila taarifa za chombo cha habari nchini Kenya,The Standard zimetia wazi sababu gani huyu tajiri hawezi kufanyia biashara nchini Rwanda.

Taarifa za The Standard zinaeleza kwamba Rujugiro hakuendelea kufanyia biashara nchini Rwanda kutokana na kuwa mfumo wake wa kiuchumi haukupatana na mfumo wa Rwanda wa kutokubali  kuwa fidia yake.

Taarifa hizi zinafafanua kwamba Mfumo wake tajiri  Rujugiro ni kuwapatia rushwa viongozi waku na kuwapatia hisa fulani katika kampuni zake kisha wakamsaidia kufanya lolote atakalo nchini humo kama vile kukwepa kodi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa hizi zinasema kwamba hili ndicho chanzo cha kutoelewana na serikali ya Rwanda kwa kuwa  mfumo wa kisiasa na wa viongozi wa jeshi ungali nchini ya utawala.

Pamoja na hili,serikali ya Rwanda iliuza kwa mnada jumba la tajiri Rujugiro maarufu kama Union Trade Center(UTC) lenye bei $miliyoni 20  kwa kumshtaki  Rujugiro kukwepa  kulipa kodi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com