kwamamaza 7

Kuwa mpinzani si kumaanisha kuwa adui wa nchi-Dk.Habineza

0

Kiongozi mwenyekiti wa chama cha upinzani Democratic Green Party Dk.Frank Habineza amesema kuwa kuwa mpinzani wa serikali haimaanishi  kuwa fulani ni adui wa nchi.

Dk.Habineza ametangaza haya baada ya viongozi wa tarafa ya Jenda,wilaya ya Nyabihu,magaharibi mwa nchi  kutaka kuzuia matayarisho ya wanachama hiki kwenye hotel kwa jina la ‘Volcano Gate’ wiki iliyopita.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Akiongea kuhusu kisa hiki, katibu mtendaji wa tarafa ya Jenda ameleza kuwa hakupokea barua ha chama hiki husika na ombi la kufanya mkutano katika eneo hili  ila chama kimeleza kuwa kiliwandikia viongozi wa wilaya wiki mbili zilizopita.

Afisa wa Green Party kwa wajibu wa mawasiliano,Deogratias Tuyishime amesema kuwa waliandikia barua wilaya na hoteli Volcano Gate wiki mbili zilizopita.

Huyu ameongeza kuwa walishangaa baada ya hoteli kukanusha kupokea fedha kwa kuambiwa kuwa viongozi wa tarafa waliwakatalia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine, Diwani wa Nyabihu Theoneste Uwanzwenuwe amewapatia ukumbi wa tarafa ili kuweza kufanya shughuli zao.

Chama cha Democratic Green Party kimeanza vitendo vya kutafuta wagombea watakachokiwakilisha katika uchaguzi wa mabunge utakaotokea mwaka 2018.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook n

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.