kwamamaza 7

Kuwa kiongozi siyo uwezo wa kujenga kinyume na sheria-Wizara ya utawala

0

Spika wa wizara ya utawala ,Ladislas Ngendahimana ameweka wazi kwamba viongozi wa ndani hawana budi kutoa mfano mzuri kwa wakazi wanaongoza badala ya kuwangusha mtegoni wa maovu.

Spika wa wizara ya utawala,Ladislas Ngendahimana

Haya ni baada ya kugundua kuwa baadhi ya nyumba 100 zilizojengwa kinyume na sheria wilaya ya Kamonyi kuna zile za viongozi wa ndani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ngendahimana amesisitiza kwamba viongozi wanapaswa kufuata sheria,kwa hiyo nyumba zao pia zitabomolewa kama zile za wakazi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baadhi ya nyumba zilibomolewa kuna za kiongozi wa kijiji cha Muganza kwa wajibu wa maendeleo,wa usalama na za wengine hata wa tarafa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi huyu amethibitisha kwamba mambo ya kubomoa nyumba zilizojengwa kwa ghasia yataendelea vile vile katika wilaya nyingine nchini.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.