kwamamaza 7

Kusini Rwanda: Aua nduguye kwa jiwe juu ya kutaka mapenzi na mke wake

0

Mwanaume Kalisa ameuua nduguye Evariste Habyarimana ambaye imeripotiwa alikwenda kwake kuomba kufanya mapenzi na mke wake.

Gazeti la Umuseke limetangaza Habyarimana Evariste ambaye ni mkazi wa Wilaya ya Kusini alikwenda nyumbani kwa nduguye akiwa amelewa.

Mwanamke wa Kalisa alipiga kelele, kwa kumunusuru, Kalisa alimpiga jiwe kichwani nduguye Habyarimana.

Kiongozi wa Tarafa la Kibirizi, Jean Baptiste Habineza amesema Habyarimana aliaga dunia akipelekwa hazanati ya Mututu, kijijini humo.

Habineza amewahamasisha wananchi kujiepusha na tabia ya ulevi kwa kuwa inawaletea madhara.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.