kwamamaza 7

Watu 5 wauawa kupitia mapambano kali kati ya Congo na Burundi

0

Wathirika tano ndio wamepoteza maisha kati ya mapambano makali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , FARDC na jeshi la Burundi kama vile huhakikishwa na uongozi wa jeshi la 3305 la  FARDC.

Radio Okapi imetoa taarifa kutoka familia za wale waliopoteza maisha ikisema kwamba hata na jeshi moja wa Congo amepoteza maisha na raia moja.

Jeshi la Burundi kwenye vita na wapiganaji wa FNL, jeshi lilikimbizwa na ndipo wakaingia Congo kwenye sehemu ijulikanayo kwa jina la Vugizo huko Kiliba karibu kilometa kumi kutoka Uvira.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Jeshi la Congo lilipo ona hayo liliwarushiya lufaya ya lisasi na kukazua mapambano kwa pande zote mbili na ndipo wamoja wakapoteza maisha.

Taarifa husema kwamba walio uawa walipelekwa kwenye hospitali ya Uvira na raia wengine wakachuliwa na jeshi la Burundi ili kupelekwa Bujumbura pakiwemo walio jeruhiwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.