kwamamaza 7

Kupanua barabara mjini Kigali itaanza Januari 2017

0

[ad id=”72″]

Mradi wa kupanua barabara katika mji wa Kigali inatarajiwa kuanza mapema sana mwezi Januari hapo usoni kama vile husema viongozi wa mji wa Kigali. Inatarajiwa kama kazi hio itachukua pesa dola karibu miliyoni 76 za kimarekani.

Mradi huo wa kupanua barabara utafanyika kwa kilometa 52, na inatarajiwa kwamba kila upande wa barabara utakua ukipitia gari mbili zenye kielekezo moja.

Kampuni ya chine ijilikanayo kwa jina “China Road Bridge Corporation”, ndio watashurulika kwa kazi hio kama vile uongozi husema.

Mradi huo utapunguza vurugrni ya mitogari nyingi (Traffic jams) sana wakati wa asubui watu wakienda kwenye shuguli na jioni.

Bwana Busabizwa Parfait, kiongozi makamu wa mji wa Kigali amesema kwamba tayari vifaa vyote vipo na mwezi kesho sherti kazi ianze.

Busabizwa eti “kupanua barabara itafanywa kwa njia mbili, mwanzo itakua ni kuanzia mzunguko (rond point) ya mjini Kigali ukielekea Gatsata, Kanogo, Rwandex pamoja na Prince House Remera. Wakati mwengine itakua kutoka Nyacyonga, Nduba, Nyamirambo na sehemu za Rugando.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.